Amosi 8:11
Biblia inasema Angalia siku zinakuja asema bwana njaa na kiu zina kuja siku hizi za mwisho ambapo biblia inasema itakuwa si njaa ya kukosa chakula na maji bali itakuwa ni njaa ya kukosa kuyasikia maneno ya Mungu, Wahi sasa kabla hujachelewa.